Swahili vibe imepita katika sehemu mbalimbali za jiji la Dar es salaam majira ya asubuhi na kushuhudia miti ikiwa imeanguka pembezoni mwa barabara pamoja na nguzo za umeme zikiwa katika hali ya kutaka kudondoka .
Katika sehemu kubwa ya jiji la Dar es Salaam umeme ulikatika wakati upepo huo ukivuma ambapo mafundi wa shirika la umeme Tanzania -Tanesco wameonekana majira hayo ya asubuhi wakiwa katika harakati za kurejesha umeme.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni