Jumatano, 22 Januari 2014

DIAMOND AWAANDIKISHA SHULE WATOTO WALIOSHINDA KUCHEZA NGOLOLO








 Napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa fursa
 ya kuiona siku nyingine nikiwa na Afya njema
 kabisa,Mapema leo mchana,ilikuwa ni

 siku niliyopanga kutimiza ahadi
yangu ya Kuwapeleka shule watoto
 walioshinda shindano la kucheza ngololo..
na kwa vile nilitaka wapate elimu iliyo bora
 zaidi,nilikaa na management yangu..na
 kutafiti ni shule ipi itakayokidhi mahitaji ya watoto wale,shule yenye 
mazingira mazuri 
ya kusomea 
na yenye standard nzuri.
sote tulikubaliana kuwapeleka shule ya
 EAST AFRICA INTERNATION SCHOOL,iliyopo Mikocheni.
napenda kumshukuru mkuu wa shule hii,Bi Mercy
 Githirua kwa kutupokea vizuri mimi na 
watoto wale..lakini pia kuwashukuru wanafunzi wote kwa kutupokea vizuri
 

 
 Nikisarimiana na mkuu wa shule bi,Mercy Githirua
 
 Nilipata nafasi ya kuzungmza na
 wanafunzi na kuwausia mambo
 mbalimbali ya kimaisha....
 

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni