Jumatano, 22 Januari 2014

AJALI YA GARI YAUA 26

WATU 26 wamekufa na wengine 26 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti za barabarani zilizotokea jana, Singida na Lindi. Ajali ya kwanza iliyoua watu 13 papo hapo na mmoja kujeruhiwa, ilitokea jana asubuhi, baada ya gari dogo la abiria aina ya Toyota Noah walilokuwa wakisafiria, kugongana uso kwa uso na lori la mizigo eneo la Isuna, .....
Photo: WATU 26 wamekufa na wengine 26 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti za barabarani zilizotokea jana, Singida na Lindi. Ajali ya kwanza iliyoua watu 13 papo hapo na mmoja kujeruhiwa, ilitokea jana asubuhi, baada ya gari dogo la abiria aina ya Toyota Noah walilokuwa wakisafiria, kugongana uso kwa uso na lori la mizigo eneo la Isuna, .......Soma zaidi http://goo.gl/EWQl0d

ASKARI WA WANYAMAPORI AUWAWA

Askari muhudumu wa wanyamapori wa kijiji cha Nduamughanga katika kata ya Mughunga tarafa ya Mgori Singida vijijini bwana Athumani Jumanne ,ameuwawa kikatili kwa kukatwakatwa na mapanga sehemu za kichwani na kuchomwa msale kwenye mdomo na watu wanaosadikiwa kutoka katika kijiji cha Handa wilaya ya nchemba mkoani dodoma .

BARABARA YA DODOMA YAFUNGWA

BREAKING NEWS:SERIKALI YAIFUNGA BARABARA YA DODOMA- MOROGORO BAADA YA MAFURIKO MAKUBWA KUSOMBA DARAJA ENEO LA DUMILA.

MBUNGE WA CHALINZE AFARIKI DUNIA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne S. Makinda (Mb), anasikitika kutoa taarifa ya kifo cha Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Saidi Ramadhani Bwanamdogo Kilichotokea leo (Jumatano) asubuhi tarehe 22.1.2014 Katika hospitali ya Muhimbili/MOI alikokuwa amelazwa kwa Matibabu. 

Mipango ya Mazishi zinaendela kufanywa na Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na familia ya Marehemu, ambapo mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho siku ya Alhamisi tarehe 23 Januari, 2014 kijijini kwake MIONO, Wilaya ya BAGAMOYO, Mkoa wa PWANI. Taarifa zaidi juu ya msiba huu zitaendelea kutolewa na Ofisis ya Bunge kadrizitakapopatikana.

Inna llilah Waina Illaih Rajiun!”

Imetolewa na

Idara ya Habari, Elimu kwa Umma na Uhusianao wa Kimataifa,

Ofisi ya Bunge,

DAR ES SALAAM

22.01.2014.

DIAMOND AWAANDIKISHA SHULE WATOTO WALIOSHINDA KUCHEZA NGOLOLO

 Napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa fursa
 ya kuiona siku nyingine nikiwa na Afya njema
 kabisa,Mapema leo mchana,ilikuwa ni

 siku niliyopanga kutimiza ahadi
yangu ya Kuwapeleka shule watoto
 walioshinda shindano la kucheza ngololo..
na kwa vile nilitaka wapate elimu iliyo bora
 zaidi,nilikaa na management yangu..na
 kutafiti ni shule ipi itakayokidhi mahitaji ya watoto wale,shule yenye 
mazingira mazuri 
ya kusomea 
na yenye standard nzuri.
sote tulikubaliana kuwapeleka shule ya
 EAST AFRICA INTERNATION SCHOOL,iliyopo Mikocheni.
napenda kumshukuru mkuu wa shule hii,Bi Mercy
 Githirua kwa kutupokea vizuri mimi na 
watoto wale..lakini pia kuwashukuru wanafunzi wote kwa kutupokea vizuri
 
 Nikisarimiana na mkuu wa shule bi,Mercy Githirua
 
 Nilipata nafasi ya kuzungmza na
 wanafunzi na kuwausia mambo
 mbalimbali ya kimaisha....
 
HIZI NDIZO AINA NNE ZA MAPENZI......soma hapa...!!!

Wataalamu wa masuala ya mapenzi wanasema kuna aina nyingi sana za mapenzi miongoni mwa binadamu hivyo ni muhimu kufahamu kuwa kila mtu ana aina yake ya kupenda . Kwa uchunguzi uliofanyika miongoni mwa wapenzi ukiwauliza swali kujua uhusiano wao hawapotezi muda kujibu ndio.
Lakini watu hao hao ukiwauliza swali “Unampenda kwa sababu gani?” Majibu ya wengi yanakuwa na sababu ambazo si za msingi na wengine wananyamaza pamoja na kuambuli kucheka. Kama unamke au mumejuulize wewe mwenyewe unampendea nini huyo mpenzi wako? sababu zinaweza kuwa ni kama zifuatazo “ Nampenda kwa sababu ni mzuri wa sura, tabia, umbo, na kusema kweli ananivutia” la kama hizo hazitakuwa sababu sina shaka nawe utanyamaza au utacheka.
Hii inaonyesha kuwa watu wengi ambao tuna wapenzi au tuko ndani ya ndoa zetu, huenda tuliwapenda au tunawapenda hadi sasa bila kufahamu ni sababu gani inayotufanya tunawapenda na kitu gani kilitufanya tuwe wapenzi.Kwa maana ikiwa ni uzuri, tabia, mvuto na sababu nyinginezo, basi lazima tufahamu kuwa uhai wa mapenzi yetu ni mdogo.
Kwani watu hubadilika tabia, sura, umbo, mvuto, ufahamu na hivyo kuweka ukomo wa mapenzi kuwa ni baada ya kutokea kwa mabadiliko hayo ambayo ni ya kawaida katika maisha ya mwanadamu, kwani ni wazi kwamba hakuna kinachodumu miongoni mwa hivyo vinavyotajwa na wengi kama sababu za kupendana.Baadhi ya wataalamu na watafiti wa elimu nafsi na hasa Bw. Robert Stenberg walijitahidi sana kufanyia utafiti wa mapenzi na kuibuka na aina nne za mapenzi
PENZI LA UTIIFU
Penzi la utiifu au kama wengi wanavyolifahamu hujulikana kama ‘penzi la mahaba’Katika aina hii ya penzi, wanaopendana hujali sana na kuendekeza zaidi miito ya kimwili mapenzi ya kiwango cha juu kabisa miongoni mwao hupatikana pale wanaposhiriki tendo la ndoa Pia wanaopendana hupenda kuwa pamoja au karibu kwa muda mwingi.Penzi la aina hii linakosa sifa ambayo ni kujitolea wapenzi kwenye penzi hili huonekana na pengine hujiona kuwa wanapendana, lakini unapofika wakati ambapo kujitolea kunahitajika, penzi lililoonekana kushamiri hupukutika ghafla.
Kujitolea kunaweza kuwa na maana nyingi tofauti kama kuumia kwa ajili ya mwingine, kutoyumbishwa na watu wa pembeni na kuwa tayari kulinda penzi hilo kwa gharama yoyote mfano ukiona mpenzi wako hayuko tayari kukusaidia unapoumwa, unapokuwa na matatizo, hakuhurumii unapokuwa taabuni ujue kuwa mapenzi yenu ni ya utiifu ambayo uhai wake ni mdogo.
Wapenzi wenye mnatakiwa kujitambua pamoja na kuchukua hatua za kukamilisha pengo la kujaliana ili kutowapa nafasi wambea na shida za dunia kuyumbisha meli ya penzi ambayo wanasafiria, ikishindikana watu hawa wanashauriwa kutokuwa wepesi wa kuoana kwani uwezekano wa ndoa yao kutodumu ni mkubwa.

PENZI LA KUJALIANA
Hapa wanaopendana wanakuwa karibu mara zote na kushiriki mambo mengi pamoja Wapenzi wa kundi hili huwa na hali ya kujitolea na umakini kwa kila sehemu na mara nyingi huwa hawakubali kuingiliwa maamuzi ya mapenzi yao.
Tatizo linapokuja suala la tendo la ndoa hujitokeza kasoro nyingi za kutofikishana kileleni au kutofurahishana na hivyo anguko lao huletwa na muwasho wa mwili ambao huwasukuma wapendanao hao kutoka ndani ya uhusiano wao na kufanya usaliti. Ilikuweka umakini na kufanya penzi la aina hii liwe imara lazima wapenzi waulizane kuhusu kutimiziana haja za mwili wanapokuwa faragha. Kama kuna kasoro kati yao si busara kufichana wanatakiwa kuwaona wataalamu wa mapenzi na kupata ushauri utakaosaidia kuondoa tatizo hilo wanashauriwa kutooana haraka.
PENZI LA UIGIZAJI
Penzi hili ni pale wanaopendana hukutana asubuhi na ikifika jioni tayari ni wapenzi kamili ambapo hugandamana kama ruba utadhani waigizaji wako kwenye matayarisho ya filamu. Ukiwatazama wanakuwa kama vichaa na msukumo wao wa kutimiza hisia za mwili huwa ni mkubwa kiasi cha kufikia kufanya mapenzi hata barabarani au kwenye sehemu za wazi.
Huchukua muda mfupi sana kutangaziana mambo ya ndoa na pengine kuoana bila kufahamiana zaidi kitabia Wanajuana asubuhi na jioni mwanamke/mwanaume keshahamia kwa mwenzake na maisha yanaanza, hapo hakuna ushauri wala muongozo wa watu wengine. Tatizo kubwa ambalo hujitokeza ni wapenzi kuchokana mapema na hamu ya kufanya tendo la ndoa kupotea. “Yaani nikiwa na mume wangu sijisikii kabisa kufanya naye mapenzi, lakini kwa wengine nakuwa na hamu sana” hizi ni kauli za wapenzi wa penzi la kisinema sinema.
Pamoja na hayo ni rahisi kuporwa na kuanzisha uhusiano mpya hivyo inashauriwa kuwa kwa wale ambao wanaona kuwa wako kwenye kundi hili, wajitahidi kujizuia na kupeana nafasi za kujuana zaidi kupitia ushauri wa watu wengine. Haileti ladha kushiriki tendo la ndoa kila mara kwa staili ile ile na sehemu zile zile na pia haifai kukurupuka kuoana bila kuchunguzana tabia, ndoa za hivi hazidumu.
PENZI TIMILIFU
Aina ya penzi hii inasifa tatu, ya tendo la ndoa kwamba wapendanao huwa hawana kasoro katika eneo hili, unapofika muda wa kupeana raha hufikishana mahali pa juu. Sifa nyingine ni ukaribu kwamba muda wote huwa karibu na kila mmoja hakai na kiu ya kutokumuona mwenzake kiasi cha kupoteza hisia na kushawishika kufanya usaliti.
Sifa ya mwisho ni kujitolea ni mahodari kusaidiana, kufarijiana na hawako tayari kupokea mambo kutoka pembeni yanayohusu uhusiano wao, hivyo huwa si rahisi kwao kuyumba kwa sababu za umbea. Katika penzi hili tendo la ndoa huwa si sehemu muhimu sana kwa wapenzi, yaani kwao penzi ni rohoni zaidi kuliko mwilini hata wakikaa muda wa miezi mitano bila kufanya tendo la ndoa upendo wao haupungui.
Hata hivyo, penzi la aina hii kwa mujibu wa wataalamu ni vigumu kupatikana na ni vigumu pia kulilinda, lakini linatajwa kuwa ni aina ya penzi bora ambalo ni muafaka kwa maisha ya baadaye ya ndoa kwa wanaopendana. Wengine kwa kutotambua aina hii ya mapenzi wamejikuta wakiliharibu kwa kufikiri tu kwamba wapenzi wao wamefika na hivyo kufanya makusudi ya kuharibu misingi ya penzi.
“Nimeshamkamata atakwenda wapi, nikimwihitaji muda wowote niko naye” Kauli kama hizi ni hatari sana katika penzi hili, hivyo inashauriwa ukiona unapendwa na mpenzi wako katika aina hii ya penzi ni vema ukawa macho ili kutolivunja kwa uzembe wako na kudhani unababaikiwa kumbe unapendwa kwa dhati. Ufafanuzi unaotolewa na wataalamu hawa unaonyesha dhahiri makosa yanayoweza kufanywa na binadamu katika kuchagua au kupata wapenzi.

Ni jambo ambalo limepelekea kuporomoka kwa uhusiano mwingi kati ya wanaume na wanawake, wanasema penzi kamili linatakiwa kuwa na sifa tatu, ambazo ni tendo la ndoa, ukaribu na kujitolea.

NYOTA YAKO LEO JUMATANO TAREHE 22 JANUARY

NYOTA YAKO LEO JUMATANO TAREHE 22/1/2014

NDOO –AQUARIUS (JAN 21 – FEBR 19)
Juhudi zako kama ikiwa hutawashirikisha wengine hazitazaa matunda, kumbuka kwamba huwezi kufanikiwa bila ya kuwashirikisha watu wako wa karibu iwe katika suala la kimapenzi au la kibiashra.

SAMAKI – PISCES (FEB 20- MACH 20)
Kabla ya kufanya maamuzi yoyote tafuta ushauri, ni muhimu sana kwako vinginevyo unaweza kupata ba...laa, jumatano ya leo ni nzuri kuwatembelea ndugu zako ambao hamjaonana kwa siku nyingi.

PUNDA- ARIES (MACH 21- APR 20)
Kile ambacho haukubaliani nacho unatakiwa ukiweke wazi mbele ya wengine ili uweze kusonga mbele au kupata mafanikio katika kila jambo lako unalolitaka, leo ni siku nzuri katika mambo yako

NG’OMBE – TAURUS (APR21 – MAY 20)
Leo ni siku nzuri ya kuwa karibu na familia yako, mkeo, watoto wako, wapenzi wako, ndugu zako na jamaa zako, kitendo cha kuwa nao kitakuletea mafanikio kinyota.

MAPACHA - GEMINI (MAY 21- JUN 21)
Inaonekana kwamba ndugu zako bado wataendelea kukusumbua kwa kutaka msaada aidha wa kipesa au kimawazo, jitahidi kuwatekelezea wanayotaka, kwa kufanya hivyo kutafungua bahati yako kwa siku zilizobaki za wiki hii.

KAA - CANCER (JUN 22- JUL 22)
Ni wakati wa kuomba msamaha kwa yale uliyoyafanya bila ya maamuzi, kivyo kuwa makini kwa sababu siku ya leo unaweza kukwama katika mambo yako utakayoyafanya.

SIMBA - LEO (JUL 23 –AUG 22)
Jumatano ya leo siyo nzuri jaribu sana kuwa makini katika kila jambo utakalofanya uwezekano wa kufanya makosa ni mkubwa sana, na unaweza kuponzwa na kujikuta ukiwa matatizoni.

MASHUKE - VIRGO (AUG 23- SEPT 23)
Matatizo yako na mikwamo inayokukumba haiwezi kumalizika bila ya kuomba msaada kwa walio karibu na wewe,, kwa hiyo tumia nafasi hii sasa ili uweze kufata mafanikio unayoyahitaji.

MIZANI - LIBRA (SEPT 24- OCT 23)
Leo ni siku nzuri sana kimapenzi kwako , utapata furaha , utaenziwa, na kupendwa na unayempenda, tumia fursa hii kuondoa matatizo ya kimapenzi ambayo unayo kati yako na huyo umpendae

NGE - SCORPIO (OCT 24- NOV 22)
Pamoja na kupata pesa, lakini inaonyesha matumizi yako siyo mazuri naitakubidi upate ushauri ili upunguze matumizi, leo ni siku nzuri kibiashara na unaweza ukafanikiwa katika mipango yako,

MSHALE - SAGITARIUS ( NOV 23 - DES 21)
Maamuzi kwa vitendo yatakuongezea nafasi zaidi ya kukubalika na wengine, leo ni siku ambayo kila utakalofanya litakwenda vizuri lakini tahadhari sana katika kauli utakazotoa zinaweza kukuweka pabaya,

MBUZI - CAPRICORN (DES 22 – JAN 20)
Jumatano ya leo jipange vizuri na fanya yale tu ambayo utaelekezwa vinginevyo utapoteza kila kila kitu ambacho umetumia muda mrefu kukijenga, leo ni siku nzuri kwako kibiashara na kimapenzi,

HII NDO KUFURU YA PESA YA MCHEZAJI..'SAMUEL ETO’O' HAYA NDIYO MAGARI YA KIFAHARI ANAYOMILIKI NA ANAYOPENDELEA

Huyu ni raia Cameroon anayesakata Kabumbu la kulipwa huko barani Ulaya, kwa sasa anaichezea Timu ya Chelsea, Pia Samuel ni mchezaji wa timu ya Taifa ya Cameroon. Eto'o hivi karibuni ameonekana kutisha sana katika kabumbu analocheza huko ulaya. Tarehe 19 mwezi huu aliweka historia kubwa katika maisha yake kwa kupiga Hat trick kwa kuifuna Manchester united bao 3-1 na kufanikiwa kunyakuwa mpira kama zawadi.Pia Kati ya Vitu samwel Eto'o anavyovipenda katika maisha yake ni kuwa na Magari ya Kifahari. Hayo hapochini ni baadhi ya Magari ya kifahari anayomiliki mchezaji huyu mkameruni. Nukuu Eto'o said: "I like to have a few cars because it gives me choice and it doesn't hurt anybody. To give happiness, the first thing is to be happy oneself, and I am." 

Maybach Xenatec Coupe worth £750,000

Aston Martin V12 Zagato, worth at £450,000

Bugatti Veyron worth at £1.55m

Jumatatu, 20 Januari 2014

JE UNATAKA KUJUA SIRI YA HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO soma hapa....!!!

Je Unajua Siri ya herufi ya mwanzo ya jina lako?. Soma hapa utaweza kuelewa Tabia zako au tabia za rafiki au mpenzi wako.

>HERUFI A
>Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira. Herufi A inawakilisha Nyota ya Punda.
>HERUFI B
>Mwenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita au pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake. Herufi B inawakilisha Nyota ya Ngombe,
>HERUFI C
>Mwenye jina linaloanziana na herufi C ni mtu wa kukubadilika badilika, mshindani na hupenda kupigania malengo yao wanayopenda. Ni watu wa wabunifu na wanaopenda mawasiliano Herufi C inawakilisha Nyota ya Mapacha,
>HERUFI D
>Mwenye jina linaloanziana na herufi D ni mtu anayependa usawa, Biashara. Ni watu wanaopenda kuamrisha na mwenye kupenda usafi. Ni jeuri na wenye msimamo. Herufi C inawakilisha Nyota ya Kaa,
>HERUFI E
>Mwenye jina linaloanzia na herufi E ni mtu mwenye roho nzuri ,yenye mapenzi na huruma. mwenye kupenda uhuru katika mapenzi na mchangamfu. Kinyume na hivyo atakuwa ni mtu asiotegemewa na kigeugeu. Herufi E inawakilisha Nyota ya Simba,
>
>HERUFI F
>Mwenye jina linaloanzia na herufi F ni mtu mwenye mapenzi,huruma , roho nzuri na ana uwezo wa kuwafariji watu. Ni mtetezi wa watu na mwenye huzuni lakini ni mzito wa kufanya maamuzi. Herufi F inawakilisha Nyota ya Mashuke,
>HERUFI G
>Mwenye jina linaloanzia na herufi G ni mtu mwenye mwenye imani ya kidini na nguvu za kiroho. Ana kipaji cha kubuni na uwezo wa kutatua matatizo ya watu. ni mtu mwenye hisia kali,msomi, mpweke na mkaidi wa kukubali ushauri wa kutoka kwa watu. Herufi G inawakilisha Nyota ya Mizani,
>HERUFI H
>Mwenye jina linaloanzia na herufi H ni mtu mwenye ubunifu na nguvu katika biashara, hupata faida kubwa kutokana na jitihada na bidii zake. ni mwenye mawazo mengi, mchoyo na mbinafsi. Herufi H inawakilisha Nyota ya Nge,
>HERUFI I
>Mwenye jina linaloanzia na herufi I ni mtu mwenye kupenda sheria, ana huruma na utu. Wakati mwingi hajiamini na ni mwenye hasira za haraka. Herufi I inawakilisha Nyota ya Mshale,
>HERUFI J
>Mwenye jina linaloanzia na herufi J ni mtu mwenye matamanio,mkweli, mkarimu na muerevu. asiyekubali kushindwa na hupata mafanikio makubwa. Wakati mwingine anakuwa ni mtu mvivu na aliyekosa mwelekeo. Herufi J inawakilisha Nyota ya Mbuzi,
>HERUFI K
>Mwenye jina linaloanzia na herufi K ni mtu mwenye jeuri. mwenye msimamo thabiti,mashuhuri na mwenye uwezo wa kushawishi na kuamsha hisia za watu wana uwezo wa utambuzi ambao watu wengi hawana. ni mtu asioridhika na hali ya kimaisha. Herufi K inawakilisha Nyota ya Ndoo,
>HERUFI L
>Mwenye jina linaloanzia na herufi L ni mtu wa vitendo, mwenye hisani na aliyejipanga vizuri kimaisha. Huwa wanapata ajali mara kwa mara. Herufi L inawakilisha Nyota ya Samaki,
>HERUFI M
>Mwenye jina linaloanzia na herufi M ni mtu mwenye kujiamini sana, mchapakazi na hupata mafanikio. ni mtu mropokaji,mwenye haraka na mwepesi kukasirika. Herufi M inawakilisha Nyota ya Punda
>HERUFI N
>Mwenye jina linaloanzia na herufi N ni mtu mwenye ubunifu, hisia kali na hupenda kuwasiliana lakini ana wivu sana. Herufi N inawakilisha Nyota ya Ngombe
>
>HERUFI O
>Mwenye jina linaloanzia na herufi O ni mtu mwenye subra, mvumilivu na mwenye bidii ya kusoma. Ni mtu mwenye kupenda kutumikia jamii na mwenye uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia. Herufi O inawakilisha Nyota ya Mapacha
>HERUFI P
>Mwenye jina linaloanzia na herufi P ni mtu mwenye uwezo wa kuamrisha na hekima kubwa. Ana nguvu za kiroho lakini anapenda sana kujitumbukiza kwenye mambo ya watu. Herufi P inawakilisha Nyota ya Kaa
>HERUFI Q
>Mwenye jina linaloanzia na herufi Q ni mtu mwenye kupenda mambo ya asili. Ni watu wasiyoelezeka nawana uwezo wa kuonyesha vitu visivyojulikana hata hivyo ni mtu aliyepooza sana. Herufi Q inawakilisha Nyota ya Simba
>HERUFI R
>Mwenye jina linaloanzia na herufi R ni mtu mwenye uvumilivu, wenye huruma lakini ana hasira za haraka. Muda wote anakuwa mpenda amani. Herufi R inawakilisha Nyota ya Mashuke
>HERUFI S
>Mwenye jina linaloanzia na herufi S ni mtu mwenye mvuto mkali wa kuleta utajiri. Ni watu wenye maamuzi ya ghafla na hupenda mageuzi makubwa. Herufi S inawakilisha Nyota ya Mizani
>HERUFI T
>Mwenye jina linaloanzia na herufi T ni mtu mwenye kupenda ushauri wa kiroho, anatumia nguvu za ziada kusaidia watu na hupata mafanikio baada ya muda mrefu. Ni watu wenye hisia kali sana na ni wepesi kushawishika. Herufi S inawakilisha Nyota ya Nge
>HERUFI U
>Mwenye jina linaloanzia na herufi U ni mtu mwenye bahati kubwa kwa ujumla. Anapenda uhuru katika mapenzi. Lakini ni mtu mbinafsi, mwenye tamaa na aliyekosa maamuzi. Herufi U inawakilisha Nyota ya Mshale.
>HERUFI V
>Mwenye jina linaloanzia na herufi V ni mtu Mchapakazi, wenye bidii na asie choka. Hata hivyo ni watu wasiotabirika. Herufi U inawakilisha Nyota ya Mbuzi.
>HERUFI W
>Mwenye jina linaloanzia na herufi W ni mtu muwazi, wachangamfuu kupita kiasi na mwenye uwezo wa kutambua mtu mwema na mbaya. Ni watu wenye tamaa na hufanya mambo ya hatari. Herufi W inawakilisha Nyota ya Ndoo.
>HERUFI X
>Mwenye jina linaloanzia na herufi X ni mtu asiyependa kuwekewa vizuizi katika kwenye anasa na ni rahisi kujiingiza kwenye uzinzi na kujitoa uaminifu. Herufi X inawakilisha Nyota ya Samaki.
>HERUFI Y (YASINTA)
>Mwenye jina linaloanzia na herufi Y ni mtu mwenye kupenda Uhuru na hawapendi kupingwa jambo lao lolote. Ni watu wanaokosa uamuzi na husababishia kupoteza bahati katika maisha. Herufi Y inawakilisha Nyota ya Punda
>HERUFI Z
>Mwenye jina linaloanzia na herufi Z ni mtu mwenye kupenda matumaini na amani. Ni wenye msimamo mkali ila wanashauriwa kufikiria kabla ya kuamua jambo. Herufi Z inawakilisha Nyota ya Ngombe.

NYOTA YAKO LEO JUMATATU 21 JAN 2014

NYOTA YAKO LEO JUMATATU TAREHE 20/1/2014

MBUZI - CAPRICORN (DES 22 – JAN 20)
Wiki hii Sayari ya jua inaingia katika nyota yako na hiyo inashiria kuanza kufunguka kwa mambo yako yaliyokwama, utapata marafiki wengi wa jinsia tofauti na yako ambao watakuburudisha na kukufurahisha. Ni wakati mzuri wa kufanya starehe.

NDOO –AQUARIUS (JAN 21 – FEBR 19)
Je unatafuta mpenzi? Sayari zote zinazohusiana ...na mambo ya mapenzi ziko kwenye nyota yako wiki hii. Utapata wapenzi wapya, waliotoroka watarudi, waliowakorofi wataacha ukorofi wao na waliokukatalia watakubali. Tumia wakati huu kujifurahisha.

SAMAKI – PISCES (FEB 20- MACH 20)
Ni wiki nzuri na ya bahati kwako ukishindwa kutumia bahati hiyo usijilaumu, wala usiseme umetengwa. Toka tafuta nafasi, fanya uhusiano, waendee wenye pesa wakukopeshe, fanya biashara, anza kujenga, nunua nyumba na chochote. Changamka usilale

PUNDA- ARIES (MACH 21- APR 20)
Leo inaonekana una furaha na hupendi mtu yoyote akukasirishe, lakini jiepushe sana na marafiki au washirika ambao unaona watakukasirisha. Inaonekana hao marafiki wanadhamira ya kukuudhi. Tafuta sababu yoyote ya kuwakwepa.

NG’OMBE –TAURUS (APR 21 – MAY 20)
Umefanikiwa kujiepusha na kufanya maamuzi mazito sana katika kipindi cha wiki iliyopita. Inaonekana kabisa kwamba ndani ya moyo wako unajua kabisa kitu gani cha kufanya na ukifanye lini lakini unashindwa kufanya kwa sababu unataka kumhifadhi mtu. wiki hii amua moja.

MAPACHA – GEMIN (MAY 21 – JUN 21
Kuna jambo la kukufurahisha limekutokea kazini na limekufanya uache mambo yote ili kulishughulikia. Kama utajisikia umechoka kiakili fanya mazoezi au kimbia au tembea tembea. Kuna uwekezakano wa kukutana na rafiki au mshirika wako ambaye atakufanya ufurahie maisha wiki hii.

KAA – CANCER (JUN 22 – JUL 22
Wiki inaonekana kuwa wiki itakayokuwa na matatizo kwako, jitahidi kufanya machache utakayoweza ili kuepukana na matatizo. Jitahidi wewe mwenyewe kwamba utatekeleza majukumu yaliyobaki wiki ijayo. Uwezekano wa kutekeleza upo unachotakiwa kufanya ni kutumia akili na ujasiri.

SIMBA – LEO (JUL 23 – AUG 22)
Inaonekana ni wiki ya mapenzi na mahaba kwa sababu sayari ya mwezi inaingia katika nyota yako.Hii vile vile inaonyesha kwamba mazingira yatakuwa tofauti na unavyofikiria hivyo kuwa muangalifu sana na watu usiowafahamu.

MASHUKE - VIRGO (AUG 23- SEPT 23)
Kama mpenzi wako anakulalamikia kwamba hakupati vile inavyotakiwa kubaliana nao kwa sababu wanasema ukweli.Sayari ya Zohal imesimama katika nyota yako na ndio inakufanya usiwe na muda kushughulikia masuala ya mapenzi. Wafanye uwapendao wajue jinsi unavyoshughulika, hiyo ndio njia ya kuwa nao karibu.

MIZANI - LIBRA (SEPT 24- OCT 23)
Hii wiki inaonekana utakuwa na mambo mengi yatakayokushughulisha kama ilivyokuwa wiki iliyopita na shughuli za kazi zitaongezeka kidogo. Fikiria sana Je hizi kazi kuna mtu anakujazia uzifanye au unazifanya kwa ajili ya kuinua hadhi yako? Kama ni la kwanza tafuta sababu ya kukwepa kama ni la pili jipunguzie majukumu utaumia.

NGE - SCORPIO (OCT 24- NOV 22)
Hii ni Wiki nzuri kama ukiwa na mpango wa kununua Nyumba au gari au kitu chochote. Manunuzi yote makubwa yana baraka zote ukiwa wewe mwenyewe au ukiwa na mshirika wako. Kama unafanya kazi Benki au katika kampuni ya Bima huo ndio wakati hasa wa kufanya mipango yako ya kimaisha.

MSHALE - SAGITARIUS ( NOV 23 - DES 21)
Wiki hii fanya mawasiliano na jamaa zako walio nje ya nchi. Kama kazi zako zikiwa zinahusiana na wageni utapata nafasi nzuri itakayokushangaza. Kama una mpenzi anaishi nje, basi tegemea kupata habari za kufurahisha za mualiko wa kumtembelea.

Maalim Hassan Yahya Hussein anapatikana Dar-es-salaam kila siku Ofisini kwake Magomeni Mwembe Chai, karibu na Kituo cha Mafuta cha SOPCO (Zamani BP). Simu 0754 672464/ au 0656580588
See More

HILO NDILOBARAZA LA MAWAZIRI

Wizara ya katiba na sheria ni Dk. Asha Migiro huku aliekuwa naibu akiendelea.
Wizara ya makamo wa raisi nchi na Mungano mabadiliko ni kwa naibu amabae ni ALL MWALIMU

Wizara ya fedha waziri ni SAADA MKUYA na naibu wake wapili ni Adamu Malima na MWIGULU NCHEMBA.
wizara ya viwanda na biashara naibu wake ni Janeth Mmbene.
Wizara ya ulinzi waziri ni Hussen Mwinyi.
Mambo ya Ndani ni MATHIAS CHIKAWE.

Wizara ya Afya waziri ni SEIF RASHID naibu wake ni STEVEN KEBWE.
Wizara ya elimu naibu waziri ni JENISTA MUHAGAMA.
Wizara ya maendeleo ya jamii na watoto PINDI CHAMA.
Wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi waziri ni TAITASI KAMANI na naibu ni KAIKA SALIGIGO PELELE mbunge wa Ngorongoro

Wizara ya Ardhi naibu wake waziri ni JOJI SIMBA CHAWENE.
Wizara ya Maji naibu waziri ni AMOSI MAKALA.
Wizara ya Kilimo naibu waziri ni Godfrey MZAMBI.
Wizara ya Habari utamaduni na michezo naibu wazri ni JUMA NKAMIA.

Wizara ya Mali asili na Utali waziri ni LAZARO NYALANDU naibu wake ni MAHAMAD MGIMWA
Wizara ya nishati naibu waziri ni CHARZI KITANGWA.
WIZARA AU NAFASSI AMBAZO HAZIJATAJWA ZIMESALIA BILA MABADILIKO MFANO WAZIRI WA ELIMU BADO NI SHUKURU KAWAMBO

SWAHILI VIBE FUNS

Swahili vibes funz wakiwa na blogger wa Swahili vibe na wewe unataka kua fun wa Swahili vibe tucheck kwenye face book page ya blogger wetu ambayo ni junior jenje iliuwezekuunganishwa kwenye crew hii.......u awelcome

SUMU YA KUUA VIRUSI VYA UKIMWI MWILINI YAGUNDULIWA"SOMA HAPA ZAIDI HAPA"

Timu ya Watafiti katika Chuo Kikuu cha North Carolina nchini Marekani, wamegundua aina ya sumu ambayo ina uwezo wa kuua seli ambazo zimekwishaathiriwa na Virusi Vya Ukimwi (VVU).