ASKARI WA WANYAMAPORI AUWAWA
Askari muhudumu wa wanyamapori wa kijiji cha Nduamughanga katika kata ya Mughunga tarafa ya Mgori Singida vijijini bwana Athumani Jumanne ,ameuwawa kikatili kwa kukatwakatwa na mapanga sehemu za kichwani na kuchomwa msale kwenye mdomo na watu wanaosadikiwa kutoka katika kijiji cha Handa wilaya ya nchemba mkoani dodoma .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni